Intro
Vanny Boy
Eh! Vanny Boy
They are not ready for this
Chee
Chorus
Eh nyege nyege
Kwetu Mwanza nyegezi
Hmmm! Nyege nyege
Nishushe Mwanza nyegezi
Eh nyege nyege
Kwetu Mwanza nyegezi
Hmmm! Nyege nyege
Nishushe Mwanza nyegezi
Verse 1
Diamond Platnumz
Oya wind your waist
Njoo nipatie Commando
Nikupe cha mkwesi
Kwa miuno ya Tae-kwo-ndo
Asa chekele, mwendo wa kandanda
Ndani ya makwanda
Sa nisongeze, leta msambwanda
Nikazie nga'nga’nga [chee
Kananivuta ghetto, nkapinge bunduki
[High bunduki
Ile naogopa central, michezo ya Amber Rutty
[Amber Rutty]
Chorus
Eh nyege nyege
Kwetu Mwanza nyegezi
Hmmm! Nyege nyege
Nishushe Mwanza nyegezi
Eh nyege nyege
Kwetu Mwanza nyegezi
Hmmm! Nyege nyege
Nishushe Mwanza nyegezi
Verse 2
Rayvanny
Yaani kama mjaluo
Shepu ya Mombasa
Hapendagi mpasuo
Hata akishinda basata
Tepe tepe mtoto kama supu teke teke
[Kongoro
Kwa mateke mwite Fally Ipupa wa temeke
[Ndombolo
Shaku shaku ya masai [Oooh masai
Kama kama nachuma papai [Oooh papai
Funika funua [twende
Bandika bandua [twende
Anika anua [twende
Kanipa chukua [twende]
Chorus
Eh nyege nyege
Kwetu Mwanza nyegezi
Hmmm! Nyege nyege
Nishushe Mwanza nyegezi
Eh nyege nyege
Kwetu Mwanza nyegezi
Hmmm! Nyege nyege
Nishushe Mwanza nyegezi
Bridge
Rayvanny
Oya fiti kalikiti ti
Katoto hakashikiki
OYA!
Kwenye bilingiti ti
Huvunjaja na kiti
Outro
Diamond Platnumz, Rayvanny
Oh sa iweke
Ah iweke iweke, ah iweke
Ipitishe kwa chini
Ah iweke iweke, ah iweke
Miendo ya kazi kazini
Ah iweke iweke, ah iweke
Hii! Ile ndi ndi ndi
Ah iweke iweke, ah iweke
Ngo ja shakiti bobo
Ah iweke iweke, ah iweke
Twende shaku kidogo
Ah iweke iweke, ah iweke
Chuma magi mbi mbi
Ah iweke iweke… Ah iweke
Ah iweke iweke, ah iweke
Hahaha! Mchezo usiucheze
Kabisa...