Verse 1
Zuchu
Habiby Louzii
Kipenzi Changu Cha Ngama
Mi Ma Wewe Hadi Milelee
Komesha Wachokozii
Wabaki Kututazama
Tuwatoe Jasho La Nywele
Mhh! Nimesikia Khabari
Eetii Kuna Mtu Twamkera
Oooh Mbona Akae Tayari
Maana Bado Muvi Hili Trelaaa
Na Usiku Nikumbate [Iteh Teh Teh Teh
Oooh My Baby Boo [Iteh Teh Teh Teh
Kwa Gego Ning'ate Nga’te [Iteh Teh Teh Teh
You Know I Love You
Nikizidi Ugomvi Unichape [Iteh Teh Teh Teh
Silaha Runguu [Iteh Teh Teh Teh
Kwenye Joto Nipepee [Iteh Teh Teh Teh
Mwandani Wanguuu
Penzi Letu Kwao Fayaa
Chorus
Na Litawachoma Sana Mhhh Litawaumaa
Na Litawachoma Sana Eh Kwa Roho Mbaya Zenu
Na Litawachoma Sana Ooh Na Hatuachanii
Na Litawachoma Sanaa
Verse 2:Diamond Platnumz
Mhh! Ada
Kinachotakasa Nafsi Huba Si Sabunii
Kwangu Usiwe Na Wasi Nishaacha Uhuni
Ada Kama Moyo Jiko Basi We Ndo Wangu Kuni
Mapenzi Soka Nipe Pasi Ntie Nyavuni
Tena Wasikutishe Kwa Jumbe Zao Za Kata [Kataa
Mi Ndo Kamati Kuu Hapa Jimbo Umepata [Pataa
Mahaba Ni Tashtiti Na Baby Unayajua
Siwezi Fanya Ya Shishi Uchebe Kukubutua
Waambie Na Ibilisi
Kwetu wanajisumbua
Huu Mfupa Kashindwa Fisi
Wao Paka Utawaua
Bridge
Diamond Platnumz
Dodoo Dodo [Nimeokota Dodo Na Mjani Wake
Nimeokota Dodo
Litaemkera Ni Shauri Zake
Simba Nimelipata Dodo
Nimeokota Dodo Na Mjani Wake
Oh Mi Mwenzenu Dodo
Litaemkera Ni Shauri Zake
Na Litawachooma
Chorus
Na Litawachoma Sana Mhhh Litawaumaa
Na Litawachoma Sana Eh Kwa Roho Mbaya Zenu
Na Litawachoma Sana
Ooh Na Hatuachanii
Na Litawachoma Sanaa
Outro
Diamond platnumz & Zuchu
Asa Baby Nichezeshe Ngondo
Ngondo Ngondoigwa Ngo
Ah Tulicheze Ngondo
Ngondo Ngondoigwa Ngo
Eeeh Timbwili Timbwili Tutimbwilike
Ngondo Ngondoigwa Ngo [Oooooh
Mpaka Kupambazukee
Ngondo Ngondoigwa Ngo [Ai Ngondo]