Ken Demacra – Hallelujah
Genre Pop

LYRIC
Hallelujah

Ken Demacra
Hallelujah lyrics
Intro
Dollar boy Oyeeeh

Verse 1
Nimekuwa Nikiomba mola
Siku moja nikuwe na Maisha mavuri
Kazi tunafanya hours zote za day
Mawazo ya mengi tumeskia
Zingine mabaya other mazuri
Na unajua Kenny I go for the best

Push push unachoweza watoto wasijeteseka
Wenzangu wanaishi kibra wanajaribu kila kitu
Kama unawezakujitolea watu wengine wenye utu
Uuruma ingie ndani yenu Maisha mazuri tuaombea

Chorus
Hallelujah hallelujah
Never Never never
Hallelujah hallelujah
Never Never never

Verse 2
Nimeingiliwa na uchungu
Pesa ya Maskini wanaiba
Kitambo kufura mbele intestines yao mafuta
Chini kwa chini hatuchoki
Chini kwa chini tualia haki
Chini kwa chini hatuchoki
Chini kwa chini tualia haki
Chini kwa chini hatuchoki

Moss moss tuenda biashara vidogo nimeanza
Ukitembea mtaani Mimi ndio mama mboga
Kidogo kidogo ujaza kibaba
Maisha ya starehe Ni ya kesho
Jiamini mwenyewe ushauri Kali isipite

Mbele kwa mbele tuasherekea
Utumaini tukuwe nayo
Life ya kesho Niya badaaye
Wakubwa wanalewa
Pesi zetu wamenyakulia

Piny piny tunakesha Sato Sunday
Machozi unalia mtungi mzima unajaza
Na bado bado unateseka
Njia ya Kwanza ikichomeka tafuta ya pili
Nielewe vizuri destination ya pili itafika

Chorus
Hallelujah hallelujah hallelujah
Never Never never
Hallelujah
Never never never
Dollar boy.........

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *